"Ushindi wa jana wa Yanga 70% percent umetokana na makosa ya KMC, na Ubora wa Yanga ni kwa 30% percent" "KMC walikuwa na poor defending, tazama Aziz Ki alikuwa hakabwi vya kutosha.. …
MSIMAMO: Mabingwa watetezi, Yanga Sc waanzia nafasi ya nne; Hii ni baada ya Kuifunga KMC Yanga SC 5 - 0 KMC TAZAMA MAGOLI YOTE HAPA
Dakika 45 za burudani zilimalizika katika dimba la Azam Complex, Chamazi, Wananchi wanaupiga mwingi mpaka unamwagika. HT: Yanga SC 1-0 KMC FC ⚽ Job 17' Ni katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanza…
Kufuatia taarifa ya Bodi ya Ligi juu ya maboresho ya kanuni ambapo imeweka marufuku kwa mchezaji kuingia mkataba binafsi wa udhamini na mshindani kibiashara wa mdhamini mkuu wa Ligi, Chama cha ACT …
Yanga Vs KMC Live 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛𝗗𝗔𝗬🔰 🏆 NBC Premier League ⚽️ Young Africans SC Vs KMC FC 📆 23.08.2023 🏟 Azam Complex, Chamazi 🕖 1:00 Usiku Kuelekea Mechi Yetu v KMC Kwenye Head To Head Tangu …
BRUNO Gomez, ni mingoni mwa wachezaji ambao wapenzi wa Yanga walitamani kumuona kikosini mwao msimu huu, chanzo changu ndani ya Singida FG, kimefunguka kuwa pamoja na watu wa Yanga kumtamani Bru…
CHANZO makini kutoka ndani ya Simba kimendokeza kwamba Simba inatarajia kufanya usajili wa ghafla, chanzo hicho kimeeleza sababu ambazo zimewashawishi benchi la Ufundi la Simba kufanya usajili wa k…
Yanga Yanasa Saini Ya Kiungo Mwingine Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Pacôme Zouzoua raia wa Ivory coast Kutoka Asec mimosas. Pacôme Zouzoua amewasili leo asubuhi nchini Tanz…
🚨 OFFICIAL & CONFIRMED: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kulia Kouassi Attohoula Yao kutoka Asec kwa Mkataba wa mwaka mmoja. Yao (26) 🇮🇪 anahesabika kuwa beki bora…
... || BREAKING Klabu Ya Simba SC Tanzania imemtambulisha rasmi Fabrice Ngoma. Klabu ya Simba imethibitisha kumsajili kiungo mkabaji, Fabrice Ngoma kutoka kwa vigogo wa Sudan, Al Hilal Omdurman…
Usajili Yanga SC ◉ Klabu ya Yanga SC imemnunua winga wa AS Maniema, Maxi Mpia Nzengeli (23) kwa USD $ 165,214 (Tsh 400 Million) ◉ Amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga ◉ Maxi …
Kama Ulikua hujaziona jezi mpya za Yanga SC hizi ndio zenyewe. Mbunifu wa jezi ya Nyeusi ya Yanga SC kwa msimu huu ameeleza maana ya jezi hiyo huku akijikita kwenye Michoro iliyopo, ameeleza kua; Je…
Fahamu ukweli kuhusu mayele kuondoka Yanga Sc Mayele mwenye mkataba wa mwaka mmoja na Yanga amegoma kusaini mkataba mpya ambao ungemfanya awe analipwa pesa ndefu kuliko mchezaji yeyote ndani ya tim…
Al Hilal Wamewashitaki wachezaji watatu waliovunja mkataba ka klabu hiyo bila kufuata utaratibu. Wachezaji waliositisha mikataba hiyo ni Fabrice Ngoma anayehusishwa Simba, Lamin Jarjou akitajwa Azam …
Ngoma Siyo kiwango cha simba sc, ni kama Sawadogo tu. "Kwa kiwango cha Fabrice Ngoma na malengo ya Simba nadhani pale wamezika tu pesa zao kama ilivyokuwa kwa Sawadogo,nadhani Simba wangetafut…
Casino ni mchezo mzuri wa kucheza kama unataka hela. Ni rahisi kushinda na hutumia gharama ndogo. Ina sehemu nyingi za kucheza, Unaweza ukacheza nafasi hata 5 kwa wakati mmoja, ukikosa hii unakula ku…
#EPL Dakika za mwisho kabisa Haaland anaimaliza mechi kwa kuwapachikia Man City goli la 4 dhidi ya Arsenal. Man City 4-1 Arsenal De Bruyne 7',54' J.Stones 45+2 Holding 86' Haaland 90…
mechi za simba club bingwa 2023 Ijumaa hii mnyama @simbasctanzania atakuwa dimba la Mohammed V nchini Morocco kukipiga na Wydad Casablanca katika mechi ya mkondo wa pili robo fainali Ligi ya Mabingw…
Matukio katika Picha
Please Wait While loading Live Scores... latest
FcTables.com
Yanga Wametoa Taarifa ya Shabiki aliyefariki katika ajali.
Taarifa Kutoka klabu ya Yanga Inasema, "Kuna taarifa za Ajali maeneo ya Msata kwa Mashabiki wetu waliokuwa wakisafiri kuja Arusha kutazama mechi ya kesho. Tunaendelea kufuatilia kwa karibu, t…
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachoingia kambini Agosti 21 kwaajili ya mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Uganda